Ashirafu omari mchora amezaliwa tarehe 6 february 1992 wilaya ya nachingwea huko mkoani Lindi. 2001 alijiunga shule ya msingi majengo huko nachingwea mpaka 2007 2008 alijiunga na kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Nambambo huko wilayani nachingwea na kumaliza mwaka 2011, Mnamo mwaka 2012 alijiunga na kidato cha tano mahiwa high school (advanced level) mpaka 2014 alipojiunga na jeshi la kujenga taifa(mujibu wa sheria) kwa miezi mitatu katika kambi la msange 823kj huko tabora. 2017 alijiunga na chuo cha afya kwa ngazi ya diploma course ya pharmacy mkoani mtwara katika chuo cha mtwara collage of health and allied science.