[1]BARAKA MICHAEL ni Mtoto wa Pili kuzaliwa Katika Familia ya Mzee Michael Daniel Mwasongwe na Bibi Nawike chusi. Amezaliwa katika kituo cha afya kiwanja mpaka tarehe 08/05/1993 jijini mbeya Tanzania.
Maisha yake ya shule, amehitimu shule ya msingi ITIJI,sekondari LEGICO,Elimu ya juu Sadani,Chuo cha kati Machame school of nursing HAI -KILIMANJARO,Chuo kikuu UDOM.
Baraka Michael kisanaa ni Mwigizaji wa Filamu, Mwongozaji wa Filamu, na Mwandishi wa mwongozo wa filamu. Elimu yake ya sanaa za maigizo alianzia kwenye makundi mbali mbali tangu mwaka 2009 yakiwemo, Together family-youth center Mbeya,Volcano-Mbeya, etc.
Baraka Michael ni muhumini wa kanisa la wasabato ulimwenguni tangu 2015 hadi sasa katika kanisa la Mabatini seventh Adventist church Mbeya Tanzania. Historia ya madhehebu ya nyuma ni Lutheran,Moravian,assemblis,AGAPE etc.
Kabira lake ni mnyakyusa mwenye asili ya tukuyu ambako babu zake ndiyo chimbuko lake.
Mitandao ya kijamii Instagram[2] Twitter [1]
- ^ a b "Login • Instagram". www.instagram.com. Retrieved 2021-08-23.
{{cite web}}
: Cite uses generic title (help) - ^ "Login • Instagram". www.instagram.com. Retrieved 2021-08-23.
{{cite web}}
: Cite uses generic title (help)