UZAZI WA MPANGO

Uzazi ni nini?

Ni mchakato wa kibaolojia ambao kiumbe hai kipya kinapatikana kutokana na kiumbe hai kingine au vingine. Uwezo wa kuzaa ni kati ya sifa kuu ya kiumbe hai, kila kiumbe hai kilipo duniani kimetokana na uzazi.

UZAZI WA MPANGO NI NINI?

duniani kimetokana na uzaz


Ni maamuzi ya hiari ya mtu au wenza juu ya wakati gani aanze kuzaa , watoto wangapi wazae, wapishane kwa umri gani na lini waache kuzaa. Pia njia ipi wangependa kutumia njia ipi.

#Kuna uwezekano mwanamke kupata ujauzito endapo hatotumia njia za uzazi wa mpango!???

✓kama wenzi hawatotumia njia ya uzazi wa mpango uwezekano mkubwa wanawake kupata ujauzito wanawake 8 kati ya 10 hupata ujauzito.

#Lakini kuna uwezekano mdogo sana wa kupata ujauzito ingawa unatumia njia za uzazi wa mpango kati wanawake 1 kati 1000 hupata ujauzito endapo ametumia vibaya njia za uzazi wa wa mpango, au hakufata masharti wakati wakutumia


✓✓Baadhi ya watu wamegawanya njia za uzazi wa mpango kati ya aina kuu mbili hadi tatu.

(a) Kwenye aina kuu mbili za uzazi wa mpango kuna za asili(nature) na njia ya teknolojia (artificial)

(b) Na wengine kwenye wamegawa katika aina kuu tatu za muda mfupi,muda mrefu,na kudumu


#End#....part one

Part two %aina za uzazi wa mpango





Mwandishi E.J .J