Hashimu ni kijana aliyezaliwa katika wilaya ya tunduru kijiji cha liwangula katika zahanati ya mindu

Amepata elimu ya msingi katika kijiji cha nakapanya kuanzia mwaka 2002 hadi 2008 kisha kuendelea na elimu ya ya secondary katika seminary ya kiislaam msamala mjini songea tangu 2009 hadi 2012 kisha alijiunga na chuo cha ualimu msingi mwaka 2013 na kuhitimu mwaka 2015

kwa sasa anaishi mkoani mtwara katika kiiji cha cha mkumbwanana tangu mwaka 2019 alipopata ajira ya ualimu

Kwa sasa ana mke anayeitwa amina pia wamijaaliwa kupata watoto wawili Faisal na Aiman