UTANGULIZI:

Injili255  ni mtandao huru ulioanzishwa hapa Tanzania wenye dira ya kutoa mafundisho ya neno la Mungu,kuwatangaza waimbaji wa nyimbo za injili ndani na nje ya nchi.

Injili255 ni mtandao endelevu unaojiendesha wenyewe,pamoja na kushirikiana na wadau mbali mbali.Lengo la mtandao huu ni kuwatangaza waimbaji wa nyimbo za injili hasa wale wapya.

DHAMIRA YETU

Kuwa mtandao endelevu ya kidini utakaojikita katika kuwasaidia waimbaji wa nyimbo za Injili kutangaza huduma yao.Pia kutoa tuzo kwa waimbaji na watumishi mbalimbali.

DIRA YETU

Kuwa na Tuzo maalum za Injili ambazo zitatotolewa kwa waimbaji na watumishi wengine bila kujali itikadi zao za kiimani.[1]

  1. ^ "Kuhusu sisi". INJILI 255. Retrieved 2017-11-03.