HISTORIA KUMHUSU

Jastin Josephat Mkwawa Sungura

Tumshukuru Mungu kwa yote anayotujalia lakini tusichoke kumuomba neema na baraka zake zaidi.

Kuzaliwa: 18 March 1988

Mahali: Tanzania, Rukwa, Sumbawanga, Matanga

Shule ya Msingi: Nkomolo-1 1997 - 2003

Shule ya Sekondari: Nkasi 2004 - 2007

Certificate in Computing and Information Technology (CCIT): 2014 at University of Der es Salaam Computing Centre.

Diploma in Computing and Information Technology (DCIT): 2015 - 2017 at University of Der es Salaam Computing Centre.