RAWLLINGS MTUMBUKA kwa Jina la Jukwaani ni MAKWENZI MULLER alizaliwa Tarehe 25 mwezi Julai, NEWALA HOSPITAL, iliyopo wilayani Newala mkoani MTWARA.
Anajulikana kama MAWE, BILLCOIN, PAPER, au Unaweza Muita Jina Lolote Linalomaanisha Pesa,
Alianza kufanya Mziki wa HIPHOP tangu akiwa darasa la tatu, na alipofika kidato cha Pili alitumbuiza kwenye sherehe na gafla mbalimbali alizoalikwa kipindi Anasoma.
Ndie msanii pekee anayechipukia kwa Kasi nchini TANZANIA, ameshafanya Mixtape mbili zenye nyimbo 36na EP mbili zenye nyimbo 16.
Kanda mseto ya kwanza Aliipa Jina La " GUN AND SHOOTER" na Ya pili "MONEY AND SHOOTER VOL 1"
Kisha Akatoa EXTENDED PLAYLIST Zinazoitwa TOKA CHINI VOL 1 &2.
Makwenzi ni Msanii Anayeogopwa hata na marapa waliio mainstream kutokana na uwezo wake wa Uandishi, midondoko, maudhui ya nyimbo zake huwa yanalenga Ukweli au Kuzungumzia ukweli Kwenye Maisha yake.
Muller Mawe [1] no founder wa "MUSIC CARE PRO" (MCP BRAND)