Enendeni ni gazeti la kimisionari lililoanzishwa na wamisionari wa Consolata kwa lengo la kuhabarisha wakristu na jamii kwa ujumla .Gazeti hili hutoa habari za kimisionari juu ya Shirika la Wamisionari wa Consolata Consolata pamoja na uinjilishaji juu ya habari za Mungu.Gazeti hili kwa Mara ya kwanza lilianza kuchapishwa huko mkoani Iringa -Tanzania ambako ndio Makao Makuu ya Shirika hili Nchini Tanzania na badae uchapishwaji wake ukaanza Kufanyika huko Dar es salaam Katika kituo chao cha kiroho cha Consolata Missionarie Centre.Gazeti hili hupendwa sana Baba baadhi ya wakristu kwa kupata habari za kimisionari na huchochea Miito Mitakatifu.
"Baadhi ya waandishi wa Gazeti hili no Padre Paulino Madeje(Mkurugenzi wa Gazeti ),Padre Francisco Bernard.