Wamenikimbiza wamenikosa ju wana hema (hema)
walinitupa kwenye kidu wakijua nita zama ila Mungu mkubwa nime dema (dema)
Walishoboka wakameza now wameshindwa kutema
waliwasifia madem zao wakisahau ni wagema
tembo kalitia maji sasa wamewatema
Now nipo nao magetoni narukanao tetema
sana staki kusema
kipindi naanza wengi walinitukana
Tena mpka watoto walisubutu kuniachia laana
wakisema hutofanikiwa Rama
ata ukatoe kafara ya mbuzi au ndama
Kiukweli walinisakama,waki force meli ipite sahara