Jina lake halisi ni Hussein Bakari Omari mzaliwa wa Mkoani Dar Es Salaam Wilaya ya Ilala hospitali ya Amana, amezaliwa kwenye familia ya watoto sita,akiwa ni mtoto wa nne kuzaliwa kwa mama ake Bi Rabia Muhammed Ndege. amesoma shule ya msingi kitunda na kuhitimu mwaka 2014 na sekondari kitunda mwaka 2018, Akufaulu kwenda elimu ya form 5 & 6 mkoani Morogoro shule ya Kwiro Boys High School aliyo hitimu mwaka 2021, akapangiwa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) ndaki ya uandishi wa habari na mawasiliano kwa Umma (SJMC) mwaka 2021. kitaaluma ni Mtangazaji wa Tv na Radio, ametangaza kipindi cha D'wikendchatshow, CLOUDSTV.